Baadhi ya wanachama na wachezaji wa KURUGENZI FC baada ya bonanza la simba na yanga mechi iliyoisha kwa sare ya 2-2.
Moja ya wadau muhimu katika timu ya KURUGENZI FC kiungo mkabaji bwana Six na kiungo mshambuliaji Bwana George chitanda.
kwa umakini mkubwa sana wadau wa Kurugenzi Fc wakifuatilia kikao hapo Jana baada ya bonanza
baadhi ya wachezaji wakijiandaa kwa mtanange wa kukata na shoka
hapa viongozi wakijadili mambo muhimu kabla ya bonanza






Ilipendeza Sana...sura mpya ya handen kurugenzi fc
ReplyDeleteInapendezaa sana ..
ReplyDeleteYanga walifeli ku zuia huhuh SIMBA COME BACK KINGS
ReplyDelete