Taifa stars imewaadhibu BURUNDI Kwa jumla ya magoli 2 - 1
magoli ya stars yakiwekwa kambani na Simon Msuva pamoja na Mbaraka Yusufu wakati goli pekee la burundi likiwekwa kambani na mchezaji wa klabu ya Simba sc Laudit Mavugo. Mpaka dakika ya mwisho Stars 2 na BURUNDI 1.

Wametutoa kimaso mso
ReplyDelete